Loan MAELEZO MAFUPI YA MKOPO WA GARI | Kutanacom Platform To Buy And Sell Much More

JIPANTIE GARI KWA MKOPO KIRAHISI HAPA

  • Check with seller
  • Published date: January 19, 2017
  • Modified date: January 19, 2017
    • Changanyiken, Kinondoni, Dar Es Salaam

MAELEZO MAFUPI YA MKOPO WA GARI

Mteja atatakiwa kuchagua gari anayotaka kwa kuzingatia vitu vifuatavyo:

AINA YA GARI
RANGIUKUBWA WA INJINI (CC)KILOMITA GARI ILIZOTEMBEA (MILEAGE)MWAKA AMBAO GARI ILIYOSAJILIWAMODEL YA GARI

  Baada ya mteja kuchagua gari na kampuni kumjibu kuwa ipo mteja atatakiwa kuingia makataba na kampuni na kulipa asilimia ishirini 20% ya bei ya gari aliyochagua. Baada ya hapo mteja atatakiwa kulipa kidogo kidogo hadi afikishe 70% ya bei halisi ya gari kwa muda usiozidi miezi 11, baada ya kukamilisha mailipo hayo ya asilimia sabini (70%) kampuni itaagiza gari kutoka Japani na mteja atatakiwa kusubiri kwa wiki 5 mpaka 8   ndipo mteja atakabidhiwa gari  na kampuni itabaki na file pamoja na kadi ya gari hadi pale mteja atakapomaliza kulipa 30% iliyobaki na hiyo 30% inatakiwa kulipa ndani ya miezi 6 pamoja na riba ya 10%. 


Kwamfano unataka gari ya million 10 utatakiwa kulipa kidogo kidogo hadi ufikishe million 7 nisawa na asilimia 70 kwa muda usiozidi miezi 11, kisha utapewa gari na bahii e utatakiwa kulipa million 3 iliyobaki ndani ya miezi 6 na riba ya asilimia 10 ya kiasi unachodaiwa cha million 3 sawa na 300,000 hivyo utalipa million 3 na laki 3 ndani ya miezi sita. Ukimaliza kulipa deni unakabidhiwa file na kadi ya gari ikiwa ni pamoja na kubadilisha umiliki wa gari kwa mujibu wa sheria za nchi.

Kwa maelezo zaidi tupigie simu au fika katika ofisi zetu.

Zilizopo: CHANGANYIKENI,PLOT No. 96, HOUSE No. 104 in University of Dar es salaam road;

Kwa maelekezo jinsi ya kufika ofisini kwetu piga simu
0673202847 / 0769026986.  

Useful information

  • Avoid scams by acting locally or paying with PayPal
  • Never pay with Western Union, Moneygram or other anonymous payment services
  • Don't buy or sell outside of your country. Don't accept cashier cheques from outside your country
  • This site is never involved in any transaction, and does not handle payments, shipping, guarantee transactions, provide escrow services, or offer "buyer protection" or "seller certification"

Related listings